Muziki Ijumaa

By RFI

Listen to a podcast, please open Podcast Republic app. Available on Google Play Store.


Category: News & Politics

Open in iTunes


Open RSS feed


Open Website


Rate for this podcast

Subscribers: 1
Reviews: 0

Description

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

Episode Date
Muziki Ijumaa - Gwiji wa Muziki wa Reggae, Phillip Dube ataendelea kukumbwa Barani Afrika
00:11:54
Utotoni mwake Lucky Phillip Dube alilelewa sana na bibi yake kutokana na mama yake kufanya kazi nje ya mahali ambapo wanaishiili aweze kumudu maisha, Katika maisha yake Lucky Dube hakuwahi kumjua baba yake. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Muziki Ijumaa,akiangazia Maisha yake ya Kimuziki.
Feb 26, 2019
Muziki Ijumaa - Brenda Faasie aliufanya Muziki wa Afrika Kuheshimika
00:10:32
Brenda Nokuzola Fassie , alizaliwa Novemba 3, 1964 huko Langa Cape Town nchini Afrika Kusini, akiwa mtoto wa mwisho wa familia yenye watoto 8,amefanya Muziki kwa kiwango cha juu Barani Afrika na kupata umaarufu Mkubwa Duniani. Ungana na Steven Mumbi katika Mkala ya Muziki Ijumaa kuangazia Safari yake ya Kimuziki.
Nov 09, 2018
Muziki Ijumaa - Pierrette Adams nyota isiozima
00:11:06
Juma hili Ali Bilali anakuletea mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Congo Brazaville ambae sehelu kubwa ya Muziki wake ameufanyia nchini Cote d'ivoire Pierrette Adams ambae nyota yake imeendelea kung'ara licha ya umri wake. Sikiliza Makala haya, usikosi pia kutupa mapendekezo yako ni mwanamuziki gani ungelipenda tukuletee juma lijalo. Usikosi pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali
Oct 12, 2018
Muziki Ijumaa - Maombolezo ya kifo cha mwanamuziki Charles Aznavour
00:12:03
wananchi wa Ufaransa wanaomboleza kifo cha mwanamuziki Mkongwe Charles Aznavour aliefariki hivi majuzi akiwa bafuni. Charles Aznavour ambae alikuwa tayari na umti wa miaka 84 anafanyiwa mazishi ya kitaifa hii leo baada ya serikali ya Ufaransa kuafikiana na familia ambayo ilikuwa haitaki hilo. kufahamu mengi zaidi kuhusu mwanamuziki huyo ambatana naye Ali Bilali katika Makala haya, usikose pia kumfollow kwa Instagram kwa kuandika @billy_bilali
Oct 12, 2018
Muziki Ijumaa - Wanamuziki wa Kundi la Daara J Family na Harakati zao
00:11:04
Historia ya Moja moja miongoni mwa makundi ya miondoko ya Hip Hop nchini Senegal Daara J Family.
Sep 27, 2019
Muziki Ijumaa - Mlimbwende aliehamia kwenye muziki Genevieve ndani ya Studio za RFI Kiswahili.
00:10:35
Mwanamuziki wa Bongo Fleva kwa mara nyingine tena amekuja kutambulisha wimbo wake mpya ambao unafanya vizuri "Hoi" wimbo ambao unahesabiwa kuwa ni wa 4 tangu pale alipojikita katika muziki. Sikiliza makala haya katika mazungumzo yake na Ali Bilali.
Feb 14, 2018
Muziki Ijumaa - Foby mwanamuziki, mtunzi anaetusua na wimbo wake Ng'ang'ana
00:11:55
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Foby aridhishwa na mapokezi ya wimbo wake mpya Ng'ang'ana unaofanya vizuri kwa sasa. Wiki hii amekuwa mgeni katika makala ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali.
Feb 14, 2018
Muziki Ijumaa - Charly na Nina wanamuzuki wa Kike nchini Rwanda wanaopata mafaanikio makubwa
00:12:03
Juma hili, Ali Bilali anakupeleka nchini Rwanda ambako anawazungumzia wanamuziki wawili wa Kike Charly na Nina ambao wameendelea kufanya vizuri kila uchao kiasi cha kualikwa huku na kule duniani. ambatana naye kusikiliza na kufaham mengi zaidi kuhusu wanamuziki hawa.
Feb 14, 2018
Muziki Ijumaa - Mwanamuziki France Gall afariki dunia
00:10:34
Makala haya Muziki Ijumaa Ali Bilali anamzungumzia mwanamuziki wa Ufaransa France Gall aliefariki dunia akiwa na umri wa miaka 70 kutokana na maradhi ya saratani. Sikiliza Makala haya ili kufaham zaidi maisha ya mwanamuziki huyo.
Feb 14, 2018
Muziki Ijumaa - G-Bo Gibanga mwanamuziki kutoka Burundi azindua album yake ya 4G
00:10:57
G-Bo Gibanga ni miongoni mwa wanamuziuki jipukizi nchini Burundi ambae amepata mafaanikio makubwa baada ya kutoa niymbo zake kadha ambazo zilipokelewa vizuri na hatimae juma hili amezindua album yake iliokuja kwa jina la 4G, mengi zaidi ambatana naye katika makala haya na Ali Billy Bilali unaweza pia kumfollow kwa instagram @billy_bilali
Dec 21, 2017
Muziki Ijumaa - Wapenzi wa Muziki wa Rock wamlilia Johnny Hallyday
00:10:53
Ulimwengu wa Muziki wa Rock and Roll wamlilia mwanamuziki wa miondoko hiyo kutoka Ufaransa Johnny Hallyday ambae alifariki usiku wa Desemba 5 kuamkia Desemba 6. Kufahamu zaidi kuhusu mwanamuziki huyo ambatana naye Ali Bilali katika makala haya Muziki Ijumaa unaweza pia kumfollow kwa instagram @billy_bilali/
Dec 21, 2017
Muziki Ijumaa - Tamasha la Fiesta latamatika jijini Dar Es Salaam
00:14:07
Novemba 25 ilikuwa kilele cha tamasha la Fiesta 2017, baada ya kufanyika katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, hatimae ilikuw ani zamu ya Dar es salaam. Msimu huu ni wanamuziki pekee kutoka nchini Tanzania ndio walioshiirki ili kutoa burudani isioweza kusahaulika. Ambatana na Makala haya Ali Bilali anakujuza kwa muhtasar namna ilivyokuwa. usikosi mpia kumfollow kwa instagram.com/billy_bilali/
Dec 21, 2017
Muziki Ijumaa - Mwanamuziki wa Burundi DJ Pro afunguka zaidi kuhusu Muziki wake
00:11:47
Makala Muzuki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki wa Burundi DJ Pro ambae kwa sasa ngoma yake mpya Blaa Blaa inafanya vizuri katika vituo mbalimbali nchini Burundi na nnje ya nchi hiyo. Sikiliza alivyofunguka zaidi kuhusu kazi zake kwa jumla na tuhuma za kuwadisi wasanii wenzie. Unaweza pia kumfollow Mtangazaji Ali Bilali kwa Instagam kwa kugonga hapa @billy_Bilali
Nov 17, 2017
Muziki Ijumaa - Samata A na harakati mpya za Muziki
00:11:57
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Samata A, kwa mara nyingine tena, ametembelea studio za RFI Kiswahili Dar Es Salaam kuzungumzia kuhusu video yake mpya ya wimbo Tufyu, lakini pia audio ya wimbo wake Totoro, sikiliza makala haya kupitia radio yako pendwa rfikiswahili.
Nov 10, 2017
Muziki Ijumaa - Wafahamu Amadou na Mariam wanamuziki wenye ulemavu wa kuona mke na Mume
00:10:39
Makala haya Muziki Ijumaa hii leo inakuletea Historia ya wanamuziki wawili mke na mume ambao ni walemavu wa kuona, lakini wamekuwa maharafu sana katika mataifa mbalimbali duniani. Ambatana naye Ali Bilali kufaham zaidi kuhusu historia yao.
Oct 05, 2017
Muziki Ijumaa - Mwanamuziki was Rwanda Medy atumbuiza jijini Kigali baada ya miaka kadhaa akiwa ugenini
00:12:14
Nov 10, 2017
Muziki Ijumaa - Aya Nakamura mwanamuzi wa Ufaransa mwenye asili ya Senegal
00:10:24
Makala Muziki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anamleta kwako Aya Nakamura mwanamuziki raia wa Ufaransa mwenye asili ya Senegal ambae ametowa album yake ya kwanza na kufanya vizuri.
Oct 05, 2017
Muziki Ijumaa - Jux akiri wimbo utaniuwa kamuimbia mpenzi wake Vanessa Mdee baada ya kumuacha
00:11:58
Makala Muziki Ijumaa juma hili, Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki Jux ambae ametambulisha wimbo wake mpya "Utaniuwa" ambao amekiri kumuimbia mpenzi wake Vanessa Mdee baada ya kumuacha. ambatana naye kufahamu mengi zaidi.
Oct 05, 2017
Muziki Ijumaa - Pam D, mwanamuziki wa kike anaetamba na mgoma yake Ngoma Droo
00:11:43
Nov 10, 2017
Muziki Ijumaa - AdjobaLove na harakati zake za Muziki wa Reggue
00:11:14
Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anazungumza na AdjobaLove, mwanamuziki wa kitambo wa miondoko ya Reggue raia wa Burundi ambae anaeshi uhamishoni nchini Rwanda, usikosi pia kumfollow ntaganzaji wako Ali Bilali kwa Instagram @billy_bilali
Aug 09, 2017