MAANA YA NETWORK MARKETING

By Josias Charles

Listen to a podcast, please open Podcast Republic app. Available on Google Play Store and Apple App Store.

Image by Josias Charles

Category: Marketing

Open in Apple Podcasts


Open RSS feed


Open Website


Rate for this podcast

Subscribers: 0
Reviews: 0
Episodes: 1

Description

Network Marketing au (Usambazaji wa kimtandao) ni mfumo wa usambazaji wa bidhaa ambao unaruhusu msambazaji aliyekwishajiunga kuunganisha wasambazaji wengine wapya chini yake. Msambazaji mpya akijiunga chini ya msambazaji flani, anakuwa sehemu ya mtandao wa huyo msambazaji wa juu yake. Msambazaji aliyekwishajiunga anaweza akauza bidhaa, na hulipwa mapato kulingana na kiasi cha bidhaa alizouza yeye mwenyewe pamoja na bıdhaa zilizouzwa na wasambazaji waliomo kwenye mitandao wake yaani chini yake. Pia msambazaji anapata faıda kwenye bidhaa alizouza kwa watu wasio wasambazaji. Network Marketing huweza kumtajirisha mtu kwa muda mfupi ikiwa mtu huyo yupo makini na kazi hii.

Episode Date
MAANA YA NETWORK MARKETING
Apr 23, 2021