Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu - Njia ya tahadhari kwako katika kumpokea Roho Mtakatifu

By The New Life Mission

Listen to a podcast, please open Podcast Republic app. Available on Google Play Store and Apple App Store.


Category: Christianity

Open in Apple Podcasts


Open RSS feed


Open Website


Rate for this podcast
    

Subscribers: 0
Reviews: 0
Episodes: 21

Description

Katika Ukristo nyakati hizi, mojawapo ya mambo yanayozungumziwa mara nyingi ni kuhusiana na habari za "wokovu toka dhambini" na "kupokea uwepo wa Roho Mtakatifu". Hata hivyo ni watu wachache walio na ufahamu ulio sahihi wa mambo haya mawili, ingawa ukweli ni kwamba haya ni mabo mawili muhimu kuhusiana na maswala ya Ukristo. Mbaya ni nini, bado hatujaweza kupata maandiko yanayo tufunza kwa uwazi juu ya mambo haya yaliyo tajwa hapo juu. Wapo watunzi wa vitabu wa Kikristo walio wengi wakitukuza karama za Roho Mtakatifu au kuelezea maisha ya kujazwa na Roho. Lakini hakuna hata mmoja kati yao anaye thubutu kushughulika na swali la msingi,nalo ni "Kwa namna gani anaye amini ataweza kumpokea Roho Mtakatifu kwa uhakika?" Kwanini? Ukweli wa kushangaza ni kwamba hawajaweza kuandika kwa viwango vilivyo kamili kwa sababu hawakuweza kuwa na ufahamu ulio kamili juu ya hili. Kama vili Nabii Hosea alipo paza sauti na kusema "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa", kwa nyakati hizi si wakristo wachache wanao vutwa katika ushabiki wa kidini, wakitegemea kumpokea Roho Mtakatifu. Huamini kwamba wataweza kumpokea Kumpokea Roho Mtakatifu baada ya kufikia kiwango cha hisia kali na mashamusham. Lakini si swala la kutia chumnvi tukisema kwamba kinacho itwa imani na watu hawa ndicho kinacho fanya Ukristo udharaulike na hata kuonekana kama mojawapo tu ya dini mfano Shama (Shamanism), na ukereketwa wa aina hii unatoka na Shetani Mtunzi, Mchungaji Paul C. Jong huthubutu siku zote kutangaza ukweli. Hujihusisha na maswala yaliyo muhimu kwa kiwango cha kutosha, ambacho wengi wa watunzi wa vitabu vya kiroho wamekwepa kwa muda mrefu. Kwanza amefafanua maana ya "kuzaliwa upya mara ya pili" na "kupokea uwepo wa Roho Mtakatifu" na kuelezea uhusiano usio kwepeka kati ya mambo yaha mawili ya ngozo za msingi. Na ndipo basi akachukua maelezo ya kina kwa pamoja kuhusiana na Roho Mtakatifu, kuanzia "namna ya utambuzi war oho" kuelekea "namna ya kuishi maisha ya ujazo wa Roho". Kwa habari zaidi mwandishi anakushauri uchunguze yaliyomo katika kitabu hiki ambayo yamewekwa katika kurasa za tovuti hii. https://www.bjnewlife.org/ https://youtube.com/@TheNewLifeMission https://www.facebook.com/shin.john.35

Episode Date
1. Roho Mtakatifu Hufanya kazi kupitia ahadi ya Neno la Mungu (Matendo 1:4-8)
Jan 13, 2023
2. Je, inawezekana mtu kumnunua Roho Mtakatifu kwa uwezo wake? (Matendo 8:14-24)
Jan 13, 2023
3. Mlimpokea Roho Mtakatifu mlipoamini? (Matendo 19:1-3)
Jan 13, 2023
4. Wale walio na imani sawa na Mitume (Matendo 3:19)
Jan 13, 2023
5. Je, unataka kuwa na Ushirika na Roho Mtakatifu? (1 Yohana 1:1-10)
Jan 13, 2023
6. Amini ili Roho Mtakatifu akae ndani yako (Mathayo 25:1-12)
Jan 13, 2023
7. Injili iliyo njema inayowezesha Roho Mtakatifu kukaa ndani ya wanao amini (Isaya 9:6-7)
Jan 13, 2023
8. Kupitia nani maji ya uzima ya Roho Mtakatifu hutiririka? (Yohana 7:37-38)
Jan 13, 2023
9. Injili ya ubatizo wake iliyo tutakasa (Waefeso 2:14-22)
Jan 13, 2023
10. Tembea katika Roho! (Wagalatia 5:16-26, 6:6-18)
Jan 13, 2023
11. Kutunza maisha yaliyo na ujazo wa Roho Mtakatifu ndani yako (Waefeso 5:6-18)
Jan 13, 2023
12. Kuishi Maisha ya Ujazo wa Roho Mtakatifu (Tito 3:1-8)
Jan 13, 2023
13. Kazi na vipawa vya Roho Mtakatifu (Yohana 16:5-11)
Jan 13, 2023
14. Ipi toba ya kweli katika kumpokea Roho Mtakatifu? (Matendo 2:38)
Jan 13, 2023
15. Utaweza kupokea ujazo wa Roho Mtakatifu pale utakapo elewa kweli tu (Yohana 8:31-36)
Jan 13, 2023
16. Mikakati ya wanao mpokea Roho Mtakatifu (Isaya 61:1-11)
Jan 13, 2023
17. Yatupasa tuwe na imani na tumaini katika Roho Mtakatifu (Warumi 8:16-25)
Jan 13, 2023
18. Ukweli uongozao wanao amini kujazwa Roho Mtakatifu (Yoshua 4:23)
Jan 13, 2023
19. Injili njema Iliyo pasua pazia la Hekalu (Mathayo 27:45-54)
Jan 13, 2023
20. Mtu aliye na uwepo wa Roho Mtakatifu ndani yake ndiye aongozaye wengine katika kumpokea Roho Mtakatifu (Yohana 20:21-23)
Jan 13, 2023
21. Maswali na Majibu
Jan 13, 2023