MAISHA na Koleman Thompson

By Koleman Thompson

Listen to a podcast, please open Podcast Republic app. Available on Google Play Store and Apple App Store.


Category: Self-Improvement

Open in Apple Podcasts


Open RSS feed


Open Website


Rate for this podcast

Subscribers: 0
Reviews: 0
Episodes: 7

Description

Karibu kwenye podcast yangu, MAISHA: Swahili Edition! Dhumuni la podcast hii ni kuzungumzia safari zetu za maisha na mambo ambayo tumepitia na kujifunza. Kwa majina naitwa Koleman Thompson. Nililelewa katika jingo la Utah, Marekani. Nilijifunza Kiswahili nilipotumikia kama Mmisionari kwa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho. Pia, nina podcast nyingine inayoitwa “MAISHA: English Edition”. Ukitaka kusikiliza kuhusu maisha ya watu waongeao Kiingereza, utafute hiyo podcast. Asante sana kwa kusikiliza!

Episode Date
7. Sean Olson na Mzungu Mswahili | Two Americans do a Podcast in Swahili
Jun 07, 2025
6. Lizbeth Leonard | Maisha ya Vijana wa Tanzania
Aug 25, 2024
5. Mwalimu Vinold John | Utamaduni na Lugha ya Waswahili
Aug 15, 2024
4. Erick Mwasha | Kuishi Maisha ya Furaha
Aug 08, 2024
3. Fredrick Charles | Maana ya Maisha na Umuhimu wa Amri za Mungu na Mpango Wake
Jul 19, 2024
2. Grace Neema Lubango | Majaribu Magumu ya Maisha na Tofauti Kati ya Maisha ya Tanzania na Marekani
Jun 12, 2024
1. Kujitambulisha Kwangu, Dhumuni la Podkasti hii, na Historia Kidogo ya Maisha Yangu
Jun 08, 2024